Ufafanuzi wa haraka na rahisi wa kile kitakachotendeka unatosha kwa watoto wa rika hili. Kwa mfano, unaweza kuzungumza kuhusu mwanasesere au ambaye hahisi vizuri na unahitaji kuenda hospitalini. Onyesha pale tatizo lilipo kwa mwanasesere na ueleze kuwa kitu kicho hicho kitamtendekea. Epuka kuzungumzia kilicho kwenye mwili wake, au kile kitakachofanywa, kwani watoto wachanga hawaelewi maelezo kama hayo. Watoto chini ya miaka 3 hawaelewi vizuri suala la wakati na hivyo unapaswa kuwaandaa mapema sana. Siku moja kabla, au siku ya ziara ya hospitali ni bora.
Watoto hadi miaka 3
Watoto wanapokua, wanakuwa na hitaji la mambo wanayojua na njia ileile mara kwa mara ili kuwasaidia kuhisi kuwa salama. Ni jambo la kawaida wao kuwa na vipindi vya kuogopa watu wasiowajua. Ukiwa mzazi au mlezi, kuwepo na mambo yako ya kawaida kunaweza kuleta kumfanya mtoto wako kuwa salama zaidi.

questionsAndAnswers
InformationNej, absolut inte. Lite beror ju så klart på varför du hamnade på sjukhus. Om du var superdålig jobbar vården så här: behandla först, förklara sen. Men ofta kan det ju bli lite snårigt att förstå även om du inte är livshotande sjuk. Det är också ett sätt att gömma sig lite bakom svåra ord som en del människor lägger sig till med. Men kom ihåg att du faktiskt har rätt att få information, på ett sätt som du förstår. Alltså, det duger inte om läkaren säger någon lång diagnos på latin. Hen ska förklara för dig så att du fattar. Ställ frågor, och se till att du förstår svaren. Det är vårdens skyldighet att du ska fatta!