- Uchovu na kizunguzungu
- Wasiwasi
- Ugonjwa
- Maumivu kwenye koo
- Kikohozi
- Kuhisi vibaya eneo karibu na cannula
- Mabomba yanayosababisha kuhisi vibaya
- Maumivu
Wafanyakazi wanaweza kusaidia kwa yoyote kati ya haya na kujitahidi kuyazuia kutendeka na kuyatibu haraka.