Kama dawa yoyote, nusukaputi zina hatari zinazohusishwa kwa kila mtu - mdomo na mzee. Hata hivyo, baada ya miaka mingi ya kuunda vifaa, dawa, taratibu na maarifa, hatari zinazohusishwa na nusukaputi zimepunguzwa na kuwa salama kwa kiwango kikubwa leo. Ili kulinganisha hii, hatari ya madhara mabaya yanayotokana na nusukaputi ni kidogo kuliko hatari ya kusafiri garini.
Jedwali hili linakupa taswira ya hatari na mara ambazo zinaweza kutokea.